キンゴルウィラ村便り/Habari kutoka Kingolwira - Habari kutoka Kingolwira -No.7
サルム・グビ Salum NGUBI
Kijiji cha Kingolwila mwanzoni mwa mwaka 2009 ulikuwa sio muzuri kwa hali ya hewa.Ukame uliloanza mwishoni mwa mwaka 2008 uliedelea mpaka mwanzoni mwa mwaka 2009, hali hiyo mbaya ilisababisha hali ya kilimo pia kuwa mbaya, kwa kawaida mwaka mpya wanakijiji huvuna matunda hasa maenbe.
Pamoja na hali mbaya ya hewa wanakijiji walikuwa wanashughulika na kuandaa masahamba yao kwa ajiri ya kilimo cha mwaka 2009, ma shamba huyo ni mpunga,mahindi, alizeti(sunflower) na makunde beans .
Mwishoni mwa mwaka kawaida wanakijiji hufanya sherehe kwa ajili ya watoto wao walifikia umiri wa utu ujima hasa wasichana sherehe huwa ni za ngoma za kienyeji, lakini wakati huu hakukua nasherehe nyingi kwa sababu ya uhaba wa vyakula uliosababisha na hali mbaya ya hewa mwaka 2008.
Pia wanakijiji walipewa semina ya utunzaji wa mazingira hasa kwa vile wanatengeneza matofali ya kuchoma ambayo yanatumia kuni nnyungi hibyo kuharibu misitu ya jirani na kijiji. Wanakijiji walifundishwa jinsi ya kuchoma matofali kwa kutumia mapumba ya mpunga badala ya miti. Wanakijiji walifurahia semina hiyo mambayo inalinda mazinigira.
Mwisho mwa mwaka 2008 wanakijiji walikuwa katika tukio kubuwa ambalo wallifurahi akukabidhia kituo cha afya ambacho kwanza ilikuwa zahanati. Kituo hicyo ambaxho kinauwezo wa kulaza wagonjowa kwa muda wapato 10 nma kutoa huduma ya mama wajawazito elimu na kujifungua.Kituo hicyo cha afuya kilijenga kwa msaawa wafadhili toka Japan, Wanakijiji watoa shukurani zao kwa serikali na watu wa Japani wakati wa kukabidhiwa zahati hiyo.
Kwa habari kwanba sherikali ya wilaya ya Morogoro mjini(Morogoro municipal counsil) Inaandaa sherehe za ufunguzi rasmi ambao watakaribishewa wafadhhili yaani mwikilishi toka hukulani ya Japan.
Mbari na shughuli za kilimo cha chakula, baadhi ya wanakijiji pia wanashughulika na kazi ya kuotesha miti ya mibono. Miti hii si mgeni kwa wanakijiji wa Kingolwira, kwani wakati fulani huoteshwa sehemu za kuzikia wafu (makaburini) ni miti ambayo ina sifa ya kuvumilia ukame kwa muda mrefu. Lakini wakati ule wanakijiji walikuwa hawajui faida nyingine.
Hivi karibu kampuni mmoja toka Japan ijulikanayo SEKISUI imewaomba wanakijiji kuotesha mimea hii na kuwalipa kiasi cha fedha na pia kuwapa elimu zaidi kuhusu mmea huu wa mbono namna inavyaoweza kutoa mafuta ambayo yanaweza kuendesha mashine kama gari na mashine nyingine(BIODIESEL)
Kampuni hii ya kijapani imeshaanza kuwa elimisha wanafunzi wa shule faida ya mmea huu na tayari baadhi ya shule zimekubali kupanda kiasi katika maeneo yanayozunguka shule. Wataalam hawa ambao wana shamba la mfano karibu na kijiji kama kililometa 2.5 wanaendelea kuwahafamisha wanakijiji. Faida za mbono kaburi baadhi yao wameanza kuelewa faida zake.
(15/03/2009)
キンゴルウィラ村の2009年初頭は気候に恵まれませんでした。乾燥は2008年末から始まり、2009年の初めまで続きました。これは農業に悪影響を与えています。村人たちは年頭になっても果物が、マンゴーさえ、収穫できません。
条件は悪くとも村人たちは今年の畑の準備を始めました。稲、トウモロコシ、ヒマワリ(油のため)や豆(クンデ)などの畑です。
年末にはいつも、大人の年齢に達した子どもたちのお祝いをしています。特に女の子たちのお祝いには村の太鼓が鳴り響きます。しかし今回は食物が足りないため、あまり盛大にはできませんでした。
また村人たちのために環境を守るためのセミナーも開かれました。とくにレンガ作りは薪をたくさん使うので、村の近隣の森林破壊にもつながります。村人たちは薪の代わりに稲のもみ殻を使ってレンガを焼く方法を学びました。村人たちはこの環境を守るためのセミナーを受けられたことを喜びました。
2008年末に村人たちにとってとても喜ぶべきできごとがありました。いままで診療所だったところが、健康センターとして村に寄贈されたのです。このセンターは10人までならしばらくの間の入院を受け入れられるし、妊婦に知識を与えることやお産もここでできます。これは日本からの援助でできました。村人たちは、日本政府と日本の皆さんに感謝しています。
モロゴロ市役所では日本政府から寄贈してくれた人、つまり代表者を招いて正式なオープンのためのお祝いを準備しているということです。
食べ物のための農業とは別に、何人かの村人はジャトロファを植える仕事もしています。この木は昔からキンゴルウィラ村ではお墓によく植えらてきたものです。長い乾きにも耐えられるという利点があります。しかし、今まで村人たちは他の使い方があることを知りませんでした。
日本企業の積水化学が村人たちにジャトロファを育てたらいくばくかのお金を支払うと告げるとともにこの植物についての知識を村人たちに与えました。油をとることができ、それは自動車やその他の機械を動かすことができるのだと。(バイオディーゼル)
この日本の会社は学校の生徒たちにこの植物の利点を教えました。すでにいくつかの学校では、学校の周りにジャトロファを植えることに決めている所もあります。たとえば村から約2.5kmくらいのところに畑を持っている人たちで、これらのことをよく分かっている人たちは、村人たちにこの植物の効用を知らせる努力を続けています。お墓の植物だったジャトロファですが、村人たちの中にはその価値に気づき始めた者たちがいます。
(2009年3月15日)
ジャトロファのための畑の整備
これがジャトロファです