top of page
  • 執筆者の写真白川

キンゴルウィラ村便り/Habari kutoka Kingolwira - Habari kutoka Kingolwira -No.8

サルム・グビ Salum NGUBI

Habari za karibuni toka katika Kijiji cha Kingolwira ni kwamba wanakijiji wanashugulika na shuguli za shamba, kilimo na pia ni wakati wa kutayarisha matofali ya udongo ambayo yanachoma kwa sababu hakuna mvua ni wakati mzuri kwa shuguli za kutayarisha matofari ya udongo.

Pia wanakijiji wanashugulika na maandalizi ya uchunguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajia kufanyika tarehe 25/10/2009.Uchaguzi huu ni kwa ajiri ya Viongozi wa mwanzo vijiji na mitaa. 

Kwa upande wa kilima hali ya hewa sio mizuri yaaani kuchelewa mvua za mwanzo ambazo huitwa vuli. Kawaida huanza mwanzo wa mwezi wa tisa. Mpaka huandika habari hii mvua bado hazijaanza ingawa baadhi ya wanakijiji wameshatayarisha mashamba tayari kwa kupanda mabegu na endapo hali itaendelea kwa kame kama maeneo mengine ya Tanzania.

Pia maji ya matumizi ya kila siku kwa majumbani baadhi ya wanakijiji wanalazimika kununua maji kwa kipimo cha (dumu) Tsh300- hadi 500- na wanakijiji wengine wamepata maji toka msikiti ambao una kisima kirefu.

(1/11/2009)


最近のキンゴルウィラ村では、村人たちが畑仕事や農作業、そしてまた雨のないこの時期には土で作るレンガを焼くのにもってこいなので、その作業などをしています。

また、村人たちは10月25日に予定されている地方選挙の準備もしています。この選挙は、村や地域の代表者を選ぶためのものです。

農業に話を移すと、ブーリと呼ばれる雨の時期が遅れているため、気候が思わしくありません。例年は9月の初めにはじまりますが、この便りを書いている現在になっても、まだ降り出しません。けれども何人かの村人たちは、タンザニアのほかの地域のように干ばつが続く場合を懸念して、種をまくための畑の準備を終えました。

また、各家の生活用水は、村人たちのうちには水を買わなければいけなくなっている人たちもでてきています。ドゥム(20リットル)ひとつでTsh300からTsh500です。また、深い井戸のあるモスクから水を得ている人たちもいます。

(2009年11月1日)

写真提供:岡野友紀さん

乾季の畑/Shamba la majira wa Kiangazi
台所で食事づくり/Mama anapika wali jikoni

閲覧数:0回0件のコメント

最新記事

すべて表示

JATAツアーズのスタッフたちが綴るタンザニアをご紹介します。 ​【目次】 ​ ★Kusikia si kuona(百聞は一見にしかず) - 相澤 俊昭 ★Tunatembea - 白川 千尋 ​ ★Habari kutoka Lukani(ルカニ村ニュース) - アレックス(ルカニ村出身) ​ ★Habari kutoka Kingolwira(キンゴルウィラ村ニュース) - グビ、ハミシ、ヤウ

記事: Blog2_Post
bottom of page